MWENYEKITI TLP APIGILIA MSUMARI KATIBA MPYA.

Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha Tanzania Labour Party TLP Eng. Aivan Maganza amekitaka chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema kuachana na mpango wa kudai katiba mpya. Eng. Maganza amesema hayo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mako makuu wa chama hicho jijini Dar es salaam.